Mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege 22/11/2008
Ninajitahidi kupakia mafundisho mapya kisha kuyaweka hapa baada ya yale yaliyokuwa hapa awali kupotea kutokana na tovuti iliyokuwa ikihifadhi audio ile kufa/kuvunjwa. Iweni na subira kidogo tafadhali... CommentsLazaro 26/10/2009 9:40pm
Salamu kwa Jina la Bwana Yesu!
Reply
Wavuti 26/10/2009 10:49pm
Asante ndg Lazaro kwa maoni yako. Tayari nimerekebisha nakuweka 'Mafundisho ya Biblia' kadiri ulivyopendekeza.
Reply
Lazaro 26/10/2009 11:13pm
Ahsante nakushukuru sana kwa moyo wako wa uungwana na unyeyekevu. MUNGU akubariki na kukuinua zaidi.
Reply
Angetile 31/10/2009 9:41am
Umefanya kazi nzuri sana kwani nilikuwa nakosa sana nyimbo za injili hapa ughaibuni sasa nimepata nilichokihitaji.Nimependa sana kujitoa kwako na kuhangaika kukusanya nyimbo zote hizo.
Reply
EDDY 12/11/2009 1:19pm
Angetile yupi huyu, NI AFYUSISYE?
Reply
Lazaro 15/11/2009 12:38pm
Salamu za Upendo kwa Jina la Bwana Yesu!
Reply
Elias Mlewa 16/01/2010 6:14pm
Ndg. Wavuti
Reply
V 18/03/2010 3:50am
Ubarikiwe sana ndugu kwa kutuwekea mafundisho muhimu sana. Ni ombi langu kwako kuongeza mafundisho mengine zaidi kwani mimi binafsi mafundisho haya yamenifungua sana kiroho. Mungu akubariki, Mungu aibariki huduma ya Mtumishi wake Mwakasege.
Reply
deo massawe 13/05/2010 6:18pm
naomba uwasiliane na mwenye namba hii nikupe mafundisho ya mwalimu deogratus massawe wa kanisa la ushindi katika neno kurasini dsm
Reply
Amen 11/07/2010 5:26pm
Wazo la kuweka Neno la Mungu hapa ni SUPA, safi sana."Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa Bwana kama maji yaifunikavyo bahari" (Habakuki 2:14) Hakika wengi walio serious watabarikiwa. Ikiwezekana weka masomo mengi zaidi na kwa kichwa cha habari husika,kuwasaidia wanaotembelea mtandao huu kufuatilia masosmo husika.
Reply
gilbert 15/07/2010 1:56pm
naomba niwe natumiwa masomo kwenye email yangu.marko 16;16-18.mbarikiwe na YESU
Reply
conrad 19/07/2010 6:45pm
bwana yesu asifiwe mbarikiwe kwa mafundisho makuu ya bwana.
Reply
PHILEMON LEONS 22/07/2010 3:17pm
Ndugu wapendwa katika bwana naomba mniombee niweze kusimama sawa katika njia inayompendeza Mungu. Naomba kama ikiwezekana muwe mnanitumia masomo ya biblia kupitia email yangu.Mungu awabariki na kuwaongoza kuitenda kazi yake.Amen
Reply
clement Malumwene 15/08/2010 10:58am
Naomba unisaidie ninaitaji kupata CD za mafundisho ya Mwl mwakasege kuhusu masomo mbalimbali aliyofundishwa.ninaisi kugushwa sana na kuzisambaza huku kwetu Njombe,maana njombe nzima akuna duka wala mtu anayejiusisha na kusambaza neno la Mungu kwa njia ya CD au kanda zaidi ya KUPIGA MUZIKI WA NJILI KIDOGO NA MUZIKI WA KIDUNIA KWA KIWANGO KIKUBWA SANA.UBARIKIWE SANA.
Reply
15/08/2010 7:17pm
Kwa wote wanaoomba kutumiwa nyimbo au mafundisho mbalibali ya Biblia, tafadhali fahamuni kuwa ilishaelezwa kuwa hapa hatugawi wala kuuza nyimbo au mafundisho, tunachokipata tunakishiriki kwa ajili ya watu kufika na kusikiliza hapa tu, na si vinginevyo kwa kuwa hatuna hati wala haki miliki ya kufanya hivyo. Ni kinyume cha sheria kuruhusu kupakua (downloading) au kuuza kazi bila ya kibali maalum. Tafadhali wasilianeni na wahusika wenyewe au wawakilishi wao kwa msaada zaidi kuhusu kazi zao. Sisi siyo wawakilishi wa yeyote.
Reply
Maggie 21/09/2010 5:10pm
Hi WaVuti,
Reply
16/10/2010 10:13am
mpendwa katika jina la YESA. Bwana Asifiwe.
Reply
Ndemas Patrice Oisso 29/10/2010 6:32pm
naona fahari ya ajabu kwa ajili yenu na neema hii ya ajabu. kwa kweli nashindwa nijielezeje na nitoeje shukran zangu kwa ajili ya masomo haya ya cd kwenye computer nashukuru sana. nashukuru sana na namwomba Mungu mkuu mnayemtumikia awabariki na kuwawezesha katika yote myafanyayo. naomba sana mzidi kuweka mafundisho mbalimbali katika internet kama mlivyofanya. naamini hamfanyi biashara bali mnatuletea neno la uzima neno la Mungu ili kutuinua na tufuhamu ni nini Mungu anataka tufanye katika maisha yetu ya kila siku! nasena asnte na asante!
Reply
Mussa loyde -UDSM 23/11/2010 4:11pm
wavuti mpo juu sana!Bwana azidi kuwainua! nadhani kazi yenu si bure, big up brothers..it is a new TANZANIA,lets shine with the WORD OF GOD! mbarikiwe
Reply
pa 23/12/2010 10:09pm
Reply
06/01/2011 12:56pm
imependeza sana kwa mafundisho ya mwakasege yaliyopo kwenye wavut hii. ombi langu natamani sana na ningefurahi sana kama ungefanya uwezekano wa kuyadownload haya mafundisho.... ubarikiwe sana.
Reply
ROSE M JOHN 28/03/2011 4:06pm
Mungu aendelee kuku bariki ktkt kufanya kaz nimeweza kujua vitu ving kupitia semina zako na nimekuzwa na semina zenu toka nikiwa mtoto kwenye semina za watoto mpaka kijana.Mungu awabariki na kuwapa maisha marefuili mwendelee kufanya kazi yake.
Reply
18/04/2011 5:42pm
Bwana Apewe Sifa.Nimebarikiwa sana na mafundisho yako.Mungu Awabariki awazidishiye Nguvu za Roho Mtakatifu ili mzidi kutulisha chakula cha kiroho
Reply
Benedict Kiwanuka 15/05/2011 6:42pm
Nakusalimu katika jina la BW.wetu Yesu Kristo aliye hai!Nakushukuru sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako niliyopata ktk tijitabu chako cha MILIKI na UTAWALE KWA NJIA YA MAOMBI (Mfululizo wa 3) Kweli nimeguswa sana.Nakusihi sana mtumishi unielekeze namna ya kupata vitabu vingine vya mafundisho yako ili niendelee kukua kiroho.Mungu akubariki!
Reply
15/06/2011 10:33am
kama nilivyojitambulisha hapojuu mmnimwnafunzi ktk chuo kikuu Ardhi,napenda kujua juu ya swala ubatizo 'hapo mwanzo mm nilibatizwa kufuata maamuzi ya wazazi je hilo linatosha au natakiwa nibatizwe tena kwa kuzingatia maamuzi yangu,halafu nashindwa kupambamanua juu ya ubatizo wa Yohana mbatizaji na Yesu.kwan Yohana mbatizaji alisema yuaja atakaye wabatiza kwa roho na na upanga
Reply
mbughi 23/09/2011 12:57pm
nakushuru kwaajili ya huduma yako nzuri
Reply
Daniel 26/09/2011 12:40pm
Napenda kumshukuru Mungu wangu kwanza kwa sababu yeye ndiye anastahili kupewa sifa na utukufu kwanza jina la Bwana libarikiwe sana. Kwa kweli mafundisho ya mtumishi wa Mungu mwl Christopher ni mazuri yanatujenga kiroho zaidi na ukiwa unafatilia vipindi vyake vyote utaweza kubadilika kimwili na kiroho na Mungu amtie nguvu zaidi Amina.
Reply
medson bihimana 13/11/2011 9:56pm
Napenda kumshukuru Mungu wangu kwasababu yeye ndiye anastahili kupewa sifa pamoja na utukufu.Kwakweli mafundisho yako nayapenda sana ila mimi naomba niwe nakusikia sauti yako kwasababu wakati nipo africa nilikuwa nafuatilia sana mafundisho yako,lakini baada yakutoka africa sisikii sauti yako tena.Kwahiyo naomba msaada wa maombi ili niludiekusikia sauti yako.Mungu akubariki sana.
Reply
Christina Robert 18/11/2011 3:48pm
Napenda kumshukuru Mungu kwa mema aliyonifanyia kupitia mtumishi wake Christopha na Diana Mwakasege kwa mimi kupana katika semina yake iliyofanyika mjini arusha katika viwanja vya reli.
Reply
Christina Robert 18/11/2011 3:50pm
kwa sasa naendelea vizuri kudumu katika kumtumikia mungu wetu aliye hai milele.
Reply
aminiel 20/12/2011 4:22pm
BWANA YESU Apewe sifa,Hongera sana kwa kuweka hapa mafundisho ya mwalimu C.Mwakasege,Ni vyema mkawekeka na mafundisho ya walimu na wahubiri wengine ambao hawafahamiki sana ili tuweze pia kujifunza toka kwao,Asante sana
Reply
janet 04/01/2012 1:30pm
nilikuwa nataka ukuuliza maswal kuhusu bible laakin sijui jinsi ya kukupata
Reply
13/01/2012 12:42pm
Shalom Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na somo ni jinsi gani sababu za kunisaidia katika kuzitazama nguvu za MUNGU Mungu akubariki sana.
Reply
peter maira 29/01/2012 1:10pm
Haleluya baba,umekuwa msaada ndani ya kanisa la mungu hapa nchini na hata nje ya nchi,mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu uzidi kutufundisha kwa roho yale ambayo mungu anasema na kanisa,naomba nitumie somo la KANISA LA LEO NA DUNIA ubarikiwe sana
Reply
james 07/02/2012 7:53pm
naomba somo la mzaliwa wa kwanza
Reply
Leave a Reply | CategoriesAll ArchivesJanuary 2012 |




RSS Feed