1500 - 1600 UTC CommentsFrolian Protase 30/01/2010 4:55pm
naipata habari lakini tovuti yenu sikuipata nimeangaika hadi kwenye google websearch
Reply
mohamedi hassani adan 05/06/2010 11:53am
mimi mohamedi hassan adan kutoka tanga mimi napinga bado tupo kwenye ukoloni sisi wanafunzi hatujapewa mitaala ya kuepukana na kutawaliwa,ubora wa elimu inazidi kushuka ningependa kushauri serekali zetu za africa kwamba nchi kuwa na wasomi wengi wenye degree ndio inaama kuendelea si kweli, mume sahau elimu ya mkono au ndharia ndio iliondoa china katika umasikini,na mrekani kama taifa kubwa asilimia 40% tu ndio wenye digrie je sisi tunauwezo kama marekani
Reply
11/07/2010 6:00pm
wa elimu inazidi kushuka ningependa kushauri seremimi mohamedi hassan adan kutoka tanga mimi napinga bado tupo kwenye ukoloni wa sisi kwa sisikali zetu za africa kwamba nchi kuwa na wasomi wengi wenye degree ndio inaama kuendelea si kweli, mume sahau elimu ya mkono au nadharia ndio iliondoachina katika umasikini,na mrekani kama taifa kubwa asilimia 40% tu ndio wenye digrie je sisi tunauwezo kama marekani,ruswa haiwezi kuondolewa bila ya kuwapa wafanyakazi mshahara mnene au kuwekwa kwa adhabu ya kifo je uchumi mkubwa tunao jibu ni hapana je hiyo sheria ya kifo inaogopwa kwa sababu zipi,mimi mohamedi hassan adan tanga tanzania
Reply
21/08/2010 11:06am
laurence masha asante kwa kutupa ukweli kuhusu huseini bashe je ccm inasubiri uamuzi gani wa busara zaidi ili agombee ubunge je takukuru uthibitisho wa laurence mashe haitoshi
Reply
mohamed hassan adan 21/08/2010 11:17am
je mkuu wa mkoa wa tanga mbona zoezi la kuondoa watu haikuanza mapema imeanza baada ya uchaguzi wakura maoni ktk chama ya mapinduzi kuisha na wengine na wengine kuambulia patupu je tutaamini vipi usiano wenu na walio shindwa ktk chama cha mapinduzi tanga Tanzania
Reply
mohamed hassan adan 27/08/2010 12:22pm
laurence masha asante kwa kutupa ukweli kuhusu huseini bashe je ccm inasubiri uamuzi gani wa busara zaidi ili agombee ubunge je takukuru uthibitisho wa laurence mashe haitoshi
Reply
JANORA 10/11/2010 5:51pm
Kwa jina naitwa janora, Nilikuwa nasikiliza matangazo yenu online, na vipindi mbalimbali, lakini kwa ajili ya mitiyani ya shule nikapunguza kidogo. Kwa sasahivi niko huru kujihunga nanyitena hasa katika kipindi cha jukwaa la manufaa. Napenda kuuliza je!kipindihicho bado kinahendelea? Asante sana.
Reply
Maxmillian Livingstone 04/02/2011 4:00pm
Kuna kila sababu na haja ya wana wa Afrika kutafuta uhuru wao wa kiuchumi na kimawazo ili walingane na utajili wao mwingi unaovunwa na wageni toka ngambo ya bara letu kwa kuwatumia viongozi wetu kwa manufaa yao.Afrika haita tulia,usugu wa maisha magumu ndiyo kiburi chetu kudai mahitaji yetu bila kurudi nyuma.Dunia yapaswa kuelewa kuwa Wana Afrika wanahitaji uhuru wa moyo,fikra na mazingira. Maximillian Livingstone wa Mazimbu Morogoro Tanzania
Reply
maxmillian Livingstone 04/02/2011 4:10pm
Mara zote naamani kuwa Fedha haramu itatumika kwa watu haramu kutuletea uongozi haramu,sina mtazamo mbaya na Waafrika wenzangu ila kwa sisi masikini ni mwiko kuamini fedha ndiyo nguzo kubwa kutatua matatizo yetu. Leo Tanzania ipo njia panda,makundi ya udini,walionacho na wasionacho,siasa yanaliangamiza taifa kwa sababu zilizopandwa tangu siku nyingi.
Reply
mohamed hassan adam uttah 02/06/2011 10:56am
jamani nyie waingereza wamarekani waitali wafaransa wapeni walibiya hela yao wanao wadai mafuta acheni msifikiri hatuoni mnachotaka kuwafanyia walia
Reply
mohamedi hassan adan 11/06/2011 10:31am
salam kwa kuru nzima ya sauti ya ujerumani, naomba wimbo wa abdi haybe(somali music) umwende hassan adam uttah colgen na umalkher kama siku yangu ya kuzaliwa nipo mtwara
Reply
mohamedi hassan adan uttah 11/06/2011 10:35am
jemsi masawe tanga ,mbona maoni ya kuwapasha mafisadi hatuoni au umepewa rushwa mimi nipo mtwara leo ni siku yangu ya kuzaliwa
Reply
Leave a Reply | CategoriesAll ArchivesJanuary 2012 |




RSS Feed