Kwa bahati mbaya mtandaoni pamesheheni audio za kwaya, bendi na waimbaji binafsi, kwa nadra sana kusikia mapambio na Tenzi za rohoni.
Ikiwa unafahamu tovuti yoyote ambayo ina nyimbo hizi ama mahali pa kuzipata kwa kusikiliza, tafadhali tuandikie katika kisanduku cha maoni au kwa kuwasiliana nasi kwenye ukurasa wa 'ContactUs'

RSS Feed