au kwa wenye VLC player, right click hapa, choose "save as" kwenye desktop ongeza .xspf mwishoni, save, halafu nenda kwenye desktop, ifungulie kwenye VLC audio player.
Comments
Kai Rooney
12/03/2010 11:03pm
Da Subi mbona hakuna kitu, nimebofya lakini kimya au ni mimi tu!!!
Kai naona ni kwako tu maana mimi nabofya hicho kifute cha play kwenye player pembeni mwa picha na inasikika sauti kabisa. Kama vipi copy & paste url hii: http://likembe.blogspot.com/2010/03/tanzanian-souvenir.html ndiko ziliko nyimbo hizi.
Reply
mchumba
13/03/2010 9:27am
naipata fresh mbona, wewe kai majungu hayo, ahaaa
Reply
Kai Rooney
14/03/2010 9:15pm
wewe unaeniambia majungu ushindwe, kwanza jina lako baya!!!
wewe Kai ha ha ha, kwenda zako huko lione kwanza lilivyo lichokozi, jina lake zuri, mbona ni 'mchumba'? au wewe mchumba alikuacha na donge kooni ndo hadi leo kila mwenye jina 'mchumba' waliona baya? lione na wewe jina lako baya ka yule mfuga magoli wa Manyuuuu. Poa Kai, ila kama vipi umeshindwa kusikiliza, jaribu kwenye hiyo linki ya kwenye blogu ya John ya Likembe hapo nimetoa, kule kwenye blogu yake utakutana na zilipendwa nyingine nyingi sana (kama u mpenzi wa zilipendwa). Wiki njema!