Ili kusikia habari mpya, tafadhali safisha 'cache' (bofya hapa) na pengine 'cookies' (bofya hapa) za browser yako, la sivyo utabaki unaona habari zile zile za siku zilizopita na kukosa mpya zilizoongezwa.
Samahani Siku nyingine hakuna taarifa kutokana na hitilafu zisizoepukika, hivyo tafadhali mtuwie radhi. CommentsSteph Tue, 27 Apr 2010 5:51:18 pm Hi Subi , asante sana kwa huduma hii. Sun, 23 May 2010 10:35:41 pm Subi, kama kungelikuwa na tuzo ya mwanablogu wa mwaka,nadhani kwa asimilia mia usingekuwa na mpinzani kwa tuzo hili kwa kazi yako iliyotukuka. Endelea kutuweka update na habari za nyumbani. Hili la taarifa na summary ya magazeti linanifariji na kujihisi kama vile nipo Tz. Asante sana Subi. Lugano Thu, 10 Jun 2010 11:47:30 pm Hi Subi asante sana kwa mtenenge huu maana unanipa furaha ya ajabu kila nikija humu napata mambo yote muhimu ya habari na nyimbo nzuri za injili zinazopoza roho yangu na kuihuisha maana huku ughaibuni ndo hivyo vya home tunavimic sana. Leave a Reply |