Radio France International wanatangaza moja kwa moja "LIVE" kwa lugha ya Kiswahili toka Dar Es Salaam.

Linki ya redio ni : www.kiswahili.rfi.fr/popuprfi.html
Linki ya tovuti kwa ajili ya kufahamu ratiba ya matangazo ya kila siku ni : www.kiswahili.rfi.fr
 


Comments

29/10/2010 3:54pm

HONGERA SANA MENEJIMENTI YA RFI KWA KUINGIZA IDHAA YENU KWENYE ORODHA YA WADAU MUHIMU WA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI.UWEKEAJI WENU KATIKA MAENDELEO YA LUGHA YA KISWAHILI NI CHANGAMOTO KUBWA KWA WAKAZI WA ENEO LA MAZIWA MAKUU AMBAO WAMEENDELEA KUWEKEZA KATIKA MAENDELEO YA LUGHA ZA UGHAIBUNI.

Wenu kwa staha;
Mdau na mtetezi wa lugha ya Kiswahili
Dar es salaam,Tanzania.

Reply
Kayanda beja
23/04/2011 5:15pm

Hongeren Rfi kwa kazi yenu na vipindi vyenu pia

Reply
Adela Madyane
03/05/2011 3:17pm

Habari za kazi,samahani,napenda sana kufanya kazi na nyinyi ya kurepot matukio.
nimemaliza chuo kikuu cha mtakatifu Agustino,shahada ya mawasiliano ya umma. Natafuta kazi,nitafurahi kama kuna nafasi katika ofisi zenu ili tuweze kufanya kazi pamoja
Kazi njema.

Reply
radio vision fm bukoba
24/08/2011 7:22am

Nimeoma kujiunga au kuwa radio shiriki mbona sipati majibu

Reply



Leave a Reply