Jambo Radio (Zilipendwa) Tanzania 11/06/2010
CommentsPhilo 20/06/2010 4:39am
Jambo Redio;
Reply
Impressed 21/07/2010 5:46pm
HAHAHA suby we kiboko, asante sana kwa nyimbo ya remmy ya "AMISA" ama sijui ni ANISA? nimecheka sana, inanikumbusha mbali.
Reply
kweli jambo redio ni kiboko,sijui nilikuwa wapi nimechelewa namna hiii,mambo yetu ni super,ni kama nyumbani morogoro makuti pale msavu stand,jamani endeleni kutupa mambo ya kale kwani kwa hapa china ni furaha mda wote baada ya kazi nzito ni jambo redio kwa sana
Reply
mtolera 19/11/2010 7:43pm
hivi jambo radio ni leo tu tar 18.11.2010 ama ni kila siku? kwani nimeingia ktk neti tangu saa 6 mchana nakula miziki tu.yaani najisikia nipo home ingawaje nipo mbali sana na tz siku mbili ndani ya ndege,eeeee mungu engelea kuwabaliki hawa watu wa JAMBO RADIO ili waendelee kutupa burudani,
Reply
@mtolera,
Reply
Iddy 31/01/2011 5:22am
Jambo ni redio ya mwanzo kabisa ya online, hiyo na ubaoni.... Imetupa raha kwa miaka nenda uje.... Mungu awabariki wote....'
Reply
geroline yosse ndessario 19/04/2011 9:35am
saffi sana kwa nyimbo zenu zilipendwa
Reply
mtolera 09/05/2011 5:54pm
nimekubali hii ndio Redio inayotufanya tuendelee kukumbuka tulikotoka,huwa nakumbuka mbalisana pindi nisikiapo nyimbo za kale,enzi hinzo ndani ya laizoni na bwanga
Reply
Ayoub 16/07/2011 1:47pm
Tunashukuru Subi kwa kuturudishia tena hii burudani.Maana tuliimiss sana. tulikuwa kila tukikatiza huku hatuoni kitu. turudishie na zile video basi.
Reply
Jumbe 21/09/2011 8:14pm
jamani kwa ujumla huwa naburudika sana kwa miziki hapa, lakini leo mmepiga utumbo mtupu!!!
Reply
ibrahim zawakati 29/09/2011 8:19am
tunashukuru sana kwa nyimbo hizi nzuri sana
Reply
mosses 19/10/2011 9:14am
du!nimefurahi sana kukutana na nyimbo hizi maana namkumbuka sana baba yangu kipindi hicho anpreya yake na anaweka nyimbo zake za kipindi hicho anasikiliza
Reply
matonya wa arusha 08/12/2011 1:22pm
asante kwa kuweka na mtangazaji livu
Reply
E.G 22/12/2011 3:40pm
Reply
Emanuel Motto 22/12/2011 10:35pm
Dj nakupata vilivyo nikiwa pande za Moscow russia,
Reply
Emanuel Motto 22/12/2011 10:35pm
Dj nakupata vilivyo nikiwa pande za Moscow russia,
Reply
bille mkali 05/01/2012 3:07pm
Radio haipatikani kuna nini ?
Reply
Leave a Reply | CategoriesAll ArchivesJanuary 2012 |




RSS Feed