Comments

fredrick
20/06/2010 12:34pm

Nimegundua hiyo tarehe haiko sawasawa!napendekeza ifanyiwe mabadiliko!!

Reply
12/03/2011 7:05pm

Reply
Habibu H. Habibu
16/11/2011 7:08am

Ni kweli tarehe yako hapo juu haiko sawasawa. Tunakuomba uirekebishe.

Reply
John
16/11/2011 8:48am

Inaelekea huyu Subi hafahamu kabisa umuhimu wa tarehe kuwa sawasawa. Maana haiwezekani tokea tarehe 20/06/2010 Mr. Fredrick alipopendekeza tarehe hiyo Subi aifanyie marekebisho hadi leo tarehe 16/11/2011 (mwaka mzima na miezi mitano) bado hajairekebisha. Ushauri wangu ni hivi kama Subi hutaki kurekebisha hiyo tarehe yako basi ni bora usiiweke kabisa hapa kwenye blog yako maana inapoteza watu.

Reply
Sadiki
21/11/2011 10:31pm

Kwa kuwa umepita mwaka mmoja na zaidi hajarekebisha hiyo tarehe inaashiria kwamba tunayoyaandika humu katika blog yake huwa haangalii kabisa, na kama ameona maelekezo yanu kisha harekebishi ni ushahidi tosha kwamba huyu Subu ni mtu wa ajabu sana.

Reply



Leave a Reply