chanzo cha umasikini kwa vijana unatokana na kutokuwa na malengo thabiti ya maisha yetu kiujumla....tatizo jingine ni kukosa mwongozo bora ima kutoka kwa wazazi au serikari yetu kila kijana anategeme amalize shule aajiliwe akikosa ajira utamkuta hanatofauti na yule ambaye hakwenda chule au anaunafuu hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu umefika wakati tubadilike tuanaweza badilisha hali hiyo.