Bomba FM Radio 104.0 Mhz Broadcasting Live from Mbeya City Tanzania via ustre.am/BzU4

Our Programmes (Ratiba ya Vipindi)

Monday - Friday (Jumatatu hadi Ijumaa)

05:00 - 06:30 Faraja Yako (Gospel)
06:30 - 10:00 Amka Bomba 
10:00 - 12:00 Fasta Fasta
12:00 - 12:30 KULIKONI DUNIANI 
12:30 - 13:00 Fasta Fasta
13:00 - 16:00 Kali za Bomba
16:00 - 16:15 TAARIFA YA HABARI 
16:15 - 18:00 Jipe Raha
18:00 - 20:30 Africanival
20:30 - 21:00 Sports Bomba
21:00 - 22:00 Faraja Yako (Gospel)
22:00 - 05:00 Bomba Special  
 


Comments

Mwakaje
13/12/2011 3:10pm

Nilikuwa naomba wimbo ohoo lulu

Reply
23/03/2012 3:07pm

Asante sana kaka kwa kuchagua kusikiliza Bomba FM RADIO 104.0MHz. Karibu ili uweze kupata vitu vizuri zaidi endelea kusikiliza

Reply
23/03/2012 3:07pm

Asante sana kaka kwa kuchagua kusikiliza Bomba FM RADIO tupo pamoja

Reply
Bakari
15/01/2012 7:19pm

Hi! Bomba Fm, Big up sana! Ninawapata live on ustream all the way from Delft-Netherlands. Keep it up!!!!.

Reply
23/03/2012 3:04pm

Tunashukuru sana kwa kuthamini, kuijali na kuchagua Bomba FM RADIO 104.0MHz. Karibu ili uweze kupata vitu vizuri sana

Reply
05/04/2012 3:22pm

watanzania tumechoshwa na chaguz za mara kwa mara na tunataka ccm wasome alama za nyakati , kuna ulazma gan wa ku,toa lema ubunge ikiwa ukwel ni kwamba atashinda tena.






Reply



Leave a Reply