Assalam Aleykum, Binafsi nakupongeza kuiweka redio Qiblatain online. Kama kijana wa Kiislam nafarijika saana na inachangia kwa kiasi kikubwa kuipandisha imani yangu. Nakuomba pia utuwekee online Radio sauti ya Quran na Iman ya Morogoro.
Ismail, salam.
Redio hii ipo hapa kwa vile wenyewe wameiweka "online" tofauti na redio nyingine ulizotaja, zenyewe hazipatikana "online" hivyo inakuwa vigumu kutimiza haja ya ombi lako.
wavuti.com haihusiki kuweka redio "online" bali kuzitafuta tu zinazopatikana na kuziorodhesha hapa ili iwe rahisi kuzipata mahala pamoja.
Reply
Ismail
14/01/2012 6:38pm
Nashukuru Subi,
Inshaallah twaweza kuipata Redio Imani karibuni nilisikia kuna mchakato huo pamoja na TV yake ambayo ndiyo iko kwenye harakati za kuanzishwa sasa.
Reply
juma
04/05/2012 10:33am
Reply
Issa Chalamila
14/05/2012 1:13pm
Assalaam aleikum,Hongereni sana Radio Qiblatein kwani tunawapata vizuri sana hapa Nanjing China,Waislamu nasi tuko juu.