Redio hii ina taarifa, habari, burudani za muziki, vipindi vya salamu na vipindi vingine vingi. Redio hii hurusha matangazo kwa saa nne kwa siku, asubuhi, kisha mchana sita hadi saba na mbili hadi nne usiku (wakati wa habari na salam huu).
Wanaotumiana salam kwa kujirudia rudia na kufuendeleza utamaduni wa salam redioni ni wakongwe: Raymond S Massawe, Mbando S Mbando, Zakaria Ndemfoo, Geofrey Njereka, Exaud John Makyao...
Tovuti ya Radio China Kimataifa inapatikana katika anwani hii : http://swahili.cri.cn
au kwa wenye VLC player, right click hapa, choose "save as" kwenye desktop ongeza .xspf mwishoni, save, halafu nenda kwenye desktop, ifungulie kwenye VLC audio player.