siku saa 10 na nusu usiku na kurudiwa jioni na saa 10 na nusu (majira ya Afrika Mashariki).
| | |
|
Mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa Mwalimu Christopher Mwakasege yanasikika mtandaoni "online" kila siku saa 10 na nusu usiku na kurudiwa jioni na saa 10 na nusu (majira ya Afrika Mashariki).
Add Comment Zimewekwa pleya mbili hapa kwa ajili ya kuongeza uchaguzi kwa wasikilizaji, kilichomo ndani yake chafanana. Radio France International wanatangaza moja kwa moja "LIVE" kwa lugha ya Kiswahili toka Dar Es Salaam. Linki ya redio ni : www.kiswahili.rfi.fr/popuprfi.html Linki ya tovuti kwa ajili ya kufahamu ratiba ya matangazo ya kila siku ni : www.kiswahili.rfi.fr Ikiwa ikiwa pleya hapo juu haisikiki, jaribu hizi : bongoradio.com/mediaplayer.html (High Speed) bongoradio.com/mediaplayerlow.html (Low Speed) na kwenye simu http://bongoradio.com:8000/listen.pls au http://bongoradio.com:9000/listen.pls Linki ya tovuti www.bongoradio.com Mahsusi kwa ajili ya kukumbushia ahadi wanazozitoa Wanasiana nyakati za uchaguzi wa viongozi wa nchi. Redio hii ina taarifa, habari, burudani za muziki, vipindi vya salamu na vipindi vingine vingi. Redio hii hurusha matangazo kwa saa nne kwa siku, asubuhi, kisha mchana sita hadi saba na mbili hadi nne usiku (wakati wa habari na salam huu). Wanaotumiana salam kwa kujirudia rudia na kufuendeleza utamaduni wa salam redioni ni wakongwe: Raymond S Massawe, Mbando S Mbando, Zakaria Ndemfoo, Geofrey Njereka, Exaud John Makyao... Tovuti ya Radio China Kimataifa inapatikana katika anwani hii : http://swahili.cri.cn Ikiwa huoni player (yahitaji flash) basi bofya linki ifuatayo ukasikilize: http://likembe.blogspot.com/2010/03/tanzanian-souvenir.html au kwa wenye VLC player, right click hapa, choose "save as" kwenye desktop ongeza .xspf mwishoni, save, halafu nenda kwenye desktop, ifungulie kwenye VLC audio player. |