wavuti
wavuti logo Facebook icon Facebook icon Twitter icon Subscribe RSS
 
Shukrani za pekee kwa Dk. Kiva kwa kurekodi na kututumia video hii
 
 
Kwa mara nyingine shukrani zimwendee Spika kwa kurekodi na kututumia video hii. Enjoy!
 
 
Kutizama video: Bofya kifute cha 'play', itafunguka 'pop-up' ya tangazo kwenye window nyingine, ifunge (close au X out) hiyo, kisha rudi hapa kwenye ukurasa huu, bofya tena kifute cha 'play'  ndipo utaweza kuona video husika.

Kurekebisha saizi ya video: Ukisha-play video, weka mouse yako kwenye player, itakuonesha icons, bofya icon yenye picha ya 'TV Screen' (ipo hapo kati) kiisha endelea kubofya ili kudili aspect ratio 4:3 au 16:3 kupata muonekano unaoupendelea.

Video ya kwanza inaonesha goli pekee la mchezo wote ambalio lilipachikwa kimyani na Didier Drogba muda mfupi tu kabla ya kipindi cha kwanza kwisha. Video zinazofuata zinaonesha kitimtim kilivyokuwa kiwanjani.

Tunamshukuru Dk. Tonny aka Spika kwa kuturekodia na kututumia hizi clips tupate'mo kusafisha macho.

Pole mtakaoshindwa kuona video hizi.  Ikiwa intaneti yako ni hafifu, au settings za kompyuta unayotumia zimezuiwa, ama hakuna flash player nk, wasiliana na IT administrator wako akurekebishie. Pole.

Linki ya video hizi zote ipo megavideo.com/u/nukta77 na moja ambayo haipo hapa inapatikana youtube.com/watch?v=Uit6eYffyGw