Ni wakati Mbunge Tundu Lissu aliposoma vifungu kukosoa kasoro katika Sheria, Kanuni na Taratibu za bunge katika uteuzi na uchaguzi wa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri.
 
 
Hata hivyo aliyepata nafasi ya uwakilishi katika Bunge la Umoja wa nchi zilizomo kusini mwa Afrika, SADC, ni bi. Sophia Simba (CCM).
 
 


credit : mwanakijiji