Kenya haoo wanatimka na viwango + ubora! 13/11/2010
Tumepiga kelele, jirani wanatubia Mlima Kilimanjaro, wanajisifia Serengeti wameiba Tingatinga, haya, baada ya kelele hizo yaelekea wamesema isiwe taabu, wanatizama vyao. Utakubaliana nami baada ya kutizama video hii ya dk. 13 hasa dakika 4 za mwisho utakapoona vivutio vyote vikubwa vya asili vya nchini kenya vikoneshwa ndani ya dakika moja katika tangazo la kampuni ya simu ya SafariCom wakati wa maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa kampuni hiyo. Kwa mwendo huu, hata ikiwa wameiga hapa na pale, sidhani kama hiyo inawaondolea sifa ya pongezi na sidhani kama uko ubaya katika kuiga na kuboresha chako. Hongera sana Wakenya. 3 Comments credit: mutwiba Shukrani kwa Mubelwa Bandio "mzee wa changamoto" kwa maelezo na video hii. ---- Hotuba ya Bw. Hodari Abdul-Ali. Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliyezungumzia ziara yake ya Tanzania akiwa mwanafunzi, uelewa wake kuhusu Tanzania, Afrika na pia umuhimu na faida ya ushirikiano kati ya waTanzania na waMarekani wenye asili ya Afrika. Bw. Hodari ni Mkurugenzi wa Give Peace a Chance Coalition (G-PAC), mtangazaji wa WPFW Pacifica Radio na mmiliki wa duka la vitabu liitwalo Dar Es Salaam lililopo Maryland nchini Marekani. Hotuba hii aliitoa siku ya kuenzi kazi na Maisha ya Hayati Mwl Julius K. Nyerere iliyoadhimishwa Oktoba 16, 2010 chuo kikuu cha Howard, Washington DC. Emmanuel Jaal na maisha ya Sudan Kusini 23/10/2010
Emmanuel Jaal muimbaji mashuhuri kutoka Sudan ya Kusini akizungumzia hali halisi ya maisha... Kilichonigusa, ni kwa jinsi alivyofunga kula kwa siku 622 akiishi kwa mlo mmoja tu kwa lengo maalum. Huyu jamaa, Zane, ana kipindi chake cha "Three Sheets" ambapo husafiri nchi mbalimbali kwa ajili ya kujaribu vinywaji vikali katika maeneo anakofika. Alipata fursa ya kufika nchini Tanzania ambako "alijichanganya" na wenyeji wa Arusha, Wamasai, na Kilimanjaro, Wachagga, ambapo katika vinywaji vikali alivyoonja ni pamja na Pombe ya asali ya nyuki (Wamasai), Gongo aka Piwa aka Chang'aa (haina kabila), Mbege (Wachagga) na Bia kadhaa za Tanzania. Kipindi cha Zane kinafanana na kipindi cha"Bizzare Foods" kinachoendeshwa na Andrew Zimmern, ambaye yeye hujichanganya na wenyeji katika kuonja maakuli, na katika mlo wikiwemo vinywaji, pia hunywa kama alivyofanya alipofika kwa Wachagga (bofya hapa kutizama video kwenye tovuti ya TravelChannel.com) Video hii inapatikana katika mtandao wa HULU hivyo baadhi ya watu hawataweza kuona, ikiwa unaishi nje ya Marekani, inabidi ujifunze mwenyewe "work around" ya jinsi ya kutizama Hulu videos nje ya Marekani. Kwa bahati mbaya sina "tutorial" hiyo na siwezi kupakua video toka Hulu kwa ajili ya kuipakia kwingineko. --------- Zane tries “bee brew” with Maasai tribe, and he partakes in a old fashioned version of an African keg party when he drinks from a bubbling cauldron full of boozy porridge with the Chagga people. The person who took this video says, "This was filmed in Tarangire National Park in Tanzania, Africa at the end of the heavy rains in early 2010. I travel worldwide doing Photography, Videography, and Web Design projects. I have a special interest in promoting Charities, Ministries, Tourism, and Businesses that empower the community. Please visit www.MediaAid.org if you'd like professional assistance in boosting the image of your organization through media." Video credit: MediaAid (YouTube) A panther in Africa 15/08/2010
The video below is streaming from Hulu.com if for some reason(s) this doesn't play on your computer, you may want to try the YouTube or FanCast versions. Enjoy! Accomodation on Safari in Tanzania 12/08/2010
Hiii video imenifundish jambo moja ambalo sikuwahi kuliona, nalo ni utengaji maji kwa ajili ya 'shower' kwenye kambi ya maturubai. Kamba, ndoo, maji... bafu tayari! Meet the Guide on Safari in Tanzania 02/08/2010
| LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



