Mmoja anasema alisikia,"...hata Raisi mwenyewe, alienda kule, Kikwete, alipona naye." Mwingine anasema, "...watu wanatoka kwenye mahospitali wanaelekea hiyo sehemu ya tiba. Inaonesha kwamba Seikali haina uwezo wowote wa kutibu watu. Maana'ke Serikali haitakuwa na kazi tena". Sikiliza wazungumzaji hapo utayasikia hayo yote na mengine yakitamkwa katika maoni yao. credit : cheka71 Waziri Kenya aomba Mwasapile akamatwe 25/03/2011
. 10 Comments Ikiwa hukuiona video ya sehemu ya kwanza, basi bofya hapa kuitizama. (Click here to watch part I of the video, incase you missed it). The Loliondo Wonder: Thousands queue for cure. A video documentary by NTV - Kenya credit : Byabato1 credit : dedichijr Ukitaka kutizama taarifa za Habari katika video tafadhali tembelea blogu ya Kennedy Kimaro ambaye kila anapoweza hurekodi video hizo na kuziweka katika blogu yake yenye anwani hii: kennedytz.blogspot.com | LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



