Taarifa ya Habari, 12 Novemba 2010 13/11/2010
Taarifa ya Habari Tanzania, TBC, Channel TEN 12/11/2010
When the 8 year old twins become the youngest World Record holder for Advanced Math A-Level 07/11/2010
Meet twins Paula and Peter Imafidon - they've just passed the University of Cambridge Advanced Maths A level and they are just 8 years old! They chat to GMTV's John Stapleton. Does this record hold today? (since the video was taken in 2009. I guess it's time to check the WR site...) 1 Comment Taarifa za Habari Tanzania, 5 Novemba 2010 06/11/2010
------ ------ ------ credit : Kennedy Kimaro/kennedytz.blogspot.com Taarifa za Habari, 4 Novemba 2010 05/11/2010
----- credit: kennedytz.blogspot.com Taarifa ya habari ITV: Dk. Shein alivyoapishwa, Ridhiwani Kikwete alivyokana shutuma za Dk. Slaa 05/11/2010
credit: Kennedy Kimaro ITV online LIVE via HabariCom na LiveStream 03/11/2010
UPDATE: HabariCom wana channels mbili, moja inaonekana kuonesha ITV muda wote na nyingine inaonesha habari nyingine. Ikiwa pleya haifunguki hapa kutokana na "restrictions" zilizowekwa na wahusika, yakubidi kwendakwenye channel hizo kupitia liveStream.com/vizatv na liveStream.com/habaricom Watch live streaming video from habaricom at livestream.com Tovuti ya HabariCom wanarusha ITV "LIVE" mtandaoni kupitia LiveStream.com/habaricom lakini kwa bahati mbaya, inaelekea upo komo wa idadi ya watazamaji wanaoruhusiwa na LiveStream kutizama kwa wakati mmoja. Nimejaribu ikiwa na watazamaji 53 na kukwama lakini kadiri nilivyoendelea kuvuta subira huku nikibofya, mtu mmoja aliondoka nami nikapata naasi hiyo kungia. Hivyo ukikwama kwa kuwa watazamaji wamezidi uwezo unaoruhusiwa (maxed out) endelea kujaribu kwa kubofya mara kwa mara. Watch live streaming video from vizatv at livestream.com ITV taarifa ya Habari 03/11/2010
StarTv ikiripoti matokeo ya uchaguzi 2010 02/11/2010
credit : Kennedy Kimaro Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC yanasikika moja kwa moja mtandaoni kutoka Dar Es Salaam. NI matangazo maalum ya uchaguzi mkuu wa Raisi, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Yatakuwa yanasikika kuanzia asubuhi saa moja hadi usiku saa tatu majira ya Afrika Mashariki. Unaweza kufuatilia matangazo haya katika radio washirika nchini Tanzania ambazo ni Radio One (ukiwa Unguja tega 94.1 na ukiwa Pemba tega 93.5), Radio Free Africa na Kiss FM. | LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



