Ni mojawapo ya hifadhi chache sana za Mwalimu nilizo nazo katika maktaba yangu. Niliitoa pia mwaka jana. 2 Comments Hii ni moja tu ya video nyingi za zamani zinazomwonesha Marehemu Mwalimu J.K.Nyerere na viongozi wengine katika harakati za ukombozi na uhuru wa Tanganyika. Uunaweza kuona (preview) na kununua video hizi katika tovuti ya Uingereza ya BritishPathe.com Video nyingine zina sauti na nyingine hazina. Ni changamotoya teknolojia kwa wakati huo. AFRICAN "SUMMIT"SENATOR ROBERT KENNEDY MEETS PRESIDENT NYERERE IN DAR ES SALAAM aka KENNEDY WITH NYERERETANGANYIKA INDEPENDENTCOMMONWEALTH CONFERENCEBARBARA CASTLE IN TANZANIATANGANYIKA: RESPONSIBLE GOVERNMENTPRESIDENT NYERERE VISITS HOLLANDJulius K. Nyerere - Ukiri wa makosa 14/10/2010
Katika video hii, Mwalimu anakiri kuwa lazima yapo makosa yaliyofanyika katika uongozi wa Serikali yake, na anatoa changamoto ya kujifunza kutokana na makosa badala ya kuishia kuyajadili tu bure, zaidi sana, anatoa changamoto kuchukua mazuri na kuacha mabaya, lakini tatizo letu ni kutilia "question mark" hata kwa mambo ya msingi... Wosia wa Baba - Ikulu pana biashara gani? 30/07/2010
video hii imerekodiwa toka ITV na kuwekwa mtandaoni na Kenney Kimaro/kennedyTz.blogspot.com Sahihisho: Kenny ananitumia ujumbe kunifahamisha kuwa, video hii aliichukua toka hapa na si ITV. Nami nasema asante Kenny kwa uungwana wako kunifahamisha hivyo, hujapenda kuchukua sifa isiyokustahiki, una heri. Sikuhakiki makabrasha kabla ya kuiweka. Shughuli nyingi na usahaulifu papo! Wosia wa Baba - Julius K. Nyerere 16/07/2010
credit: Kennedy Kimaro Wosia wa Baba, Julius K Nyerere 14/07/2010
credit: Kennedy Kimaro and ITV/IPPMedia Wosia wa Baba, Mwalimu Julius K. Nyerere 12/07/2010
Wosia wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuhusu uongozi nchini Tanzania. Wosia wa Baba: Mwl. Julius K. Nyerere 08/02/2010
Sehemu ya hotuba aliyoitoa mkoani Mbeya katika sikukuu ya Wafanyakazi, Mei Mosi 1990. Shukran Dk. Tonny (Supika) kwa kurekodi video hii, nami bila ajizi nimei-upload kwenye twitvid na kushea na wote. Video nyingine nilizo-upload zinapatikana katika ukurasa wangu wa: twitvid.com/videos/subinukta | LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



