wavuti
 
 
 
Hizi ni clips zilizounganishwa zinazoonesha hali ilivyokuwa katika Mahakama Kuu ya Rufaa nchini Tanzania, 11 Februari 2010 baada ya kusomwa hukumu ya kesi ya ubakaji inayowakabili Nguza Viking na wanae. Habari kwa kina juu ya ililvyokuwa ipo katika ukurasa wa mwanzo wa Habari (waweza kubofya hapa kuisoma)
Shukrani kwa TheUwazi kwa kurekodi video hii na kuiweka mtandaoni
 
 
Video 3 zimerekodiwa na TheUwazi nasi hapa wavuti.com tumeziunga kutengeneza moja. Shukrani za dhati ziwafikie TheUwazi kwani ni kwa hisani yao tunaweza kuona video hii ya kumbukumbu muhimu.
 
 
 
 
Sehemu ya hotuba aliyoitoa mkoani Mbeya katika sikukuu ya Wafanyakazi, Mei Mosi 1990.
Shukran Dk. Tonny (Supika) kwa kurekodi video hii, nami bila ajizi nimei-upload kwenye twitvid na kushea na wote. Video nyingine nilizo-upload zinapatikana katika ukurasa wangu wa: twitvid.com/videos/subinukta
 
 
 
 
Shukrani kwa TheUwazi kwa kupakua video # I + II kwenye tovuti ya YouTube. Hapa wavuti.com tumeziunga pamoa na kuzifanya kuwa moja kwa urahisi wa kutizama. Sababu ya kuwa na mbili kule YouTube ni kutokana na tovuti hiyo kutokuruhusu kupakua video ya muda wa zaidi ya dakika 10 au faili la ukubwa wa zaidi ya saizi ya 2gb, lolote litakalotangulia (ni mabadiliko mapya ya YouTube).
 
 
 
 
Sehemu ya sherehe za maandamano ya akina mama kumpongeza Maalim Seif S. Hamad katika suala la kumtambua Rais Amani A. Karume kama raisi wa Zanzibar.

Vuta subira kuona sehem ya karibu na mwisho katika video ya pili  na pia sehemu ya kwanza ya video ya tatu kwani nzuri sana  ambapo zinaonesha vijana wakifanya michezo mbalimbali ya sarakasi.
 
 
Mkutano wa chama cha wananchi CUF katika eneo la Mkunazini, Zanzibar.
Ilikuwa ni tarehe 8 Agosti