Tanzania eeh! Tanzania aah! 11/12/2009
CommentsBLACKMANNEN 11/12/2009 7:47am
Ni video nzuri sana. Japo sijui Kitaliano, lakini nadhani maneno yake ni sawa na yale yaliyoimbwa kwenye Kiswahili. Kwa kweli imenitoa machozi video hii. Ahsante na Hongera zenu nyingi Wazazi wa huyu Binti. Kaimba bila ya woga wala aibu. Nimeipenda sana video hii. Ahsante pia "Da-Subi".
Reply
Kweli kabisa Blackmannen kwamba wimbo huu mzuri ndiyo maana mi nimeukumbuka japo uniliwaze kwa mauzauza yaliyoisonga akili yangu. Aliuimba muda mrefu sana Martina, kwa sasa yeye ni binti mkubwa kabisa nadhani yupo karibu ama keshamaliza masomo ya Sekondari.
Reply
mwakipesile 11/12/2009 9:13am
hii ni safi sana kazi nzuri,subi wekw basi kwenye Michuziiii.
Reply
Mwakipesile, ombi lako gumu, maana kwa Michuzi mi ntaiwekaje wakati si blogu yangu yakhe? mwenye blogu ndiye administrator mwenye username na password, si sawa na forum. Sasa yeye ndiye umwombe aichukue aiwekemo bloguni mwake. Video ipo imejaa tele fesibuku na youtube.
Reply
Comments are closed. | LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



