Hukumu ya rufaa ya Nguza Viking (Babu Seya) 02/11/2010
Hizi ni clips zilizounganishwa zinazoonesha hali ilivyokuwa katika Mahakama Kuu ya Rufaa nchini Tanzania, 11 Februari 2010 baada ya kusomwa hukumu ya kesi ya ubakaji inayowakabili Nguza Viking na wanae. Habari kwa kina juu ya ililvyokuwa ipo katika ukurasa wa mwanzo wa Habari (waweza kubofya hapa kuisoma) Shukrani kwa TheUwazi kwa kurekodi video hii na kuiweka mtandaoni CommentsLeave a Reply |