Inawezekana mimi sijui maana ya mahojiano au interview, ukisikiliza mahojiano ya Mbangu, utaona kabisa wanaomuhoji hawakujiandaa, kwa hiyo wote wanabaki na swali moja tu la unajisikiaje baada ya mchumba kuchukuliwa.Kati ya swali na swali inaonesha kabisa hawa waandishi hawakuwa na maswali ambayo tulitegemea wamhoji. Waandishi jaribuni kuiga jinsi wengine wanavyohoji, sasa Mbangu ni hivyo je mkiambiwa ni Raisi mumuhoji itakuwaje au mtaishia kumuamkia? Mwisho pole Bw Mbangu dunia ndivyo ilivyo Mungu yupo atawasaidia mtafika tu.
Reply
Ngoboko
22/02/2010 5:23pm
Pole sana kwa yaliyowafika kina Nguza Mbangu, hiyo ni mitihani ya Mwenyezi Mungu na nina imani mtafanikiwa tu.
Cha msingi kwa kuwa nyie mmekwishaachiwa huru mfight ndugu zenu waliobaki waweze kutoka ikiwa ni pamoja na kuwaombea kwake Allah.
Hayo mengine ya mchumba, mke yatakuja hapo baadaye. Poleni sana
Reply
collins
26/02/2010 3:41pm
piagania familia yako kwanza nguza mambo ya mke yatakuja baada na ya familia yako kua huru..mungu awasaidie