Comments

samuel issangya
19/02/2010 11:09pm

Naitwa samuel issangya nipo london nachotaka kusema ni kwamba taanzania imeshafikiwa kupata pigo kutoka kwa mungu na baada sasa ya kutaka kushindana na mungu ufisadi mungu alikuwa ametulia na kuangalia kwa mbali wakawa wamejidai waameshinda, wanataka sasa kushindana na mungu, lakini naogopa maana gadhabu ya mungu itawapata watanzania sio tu mafisadi, Na mungu asaidie tu tanesco wasipitishe huo umeme hapo kwenye hiyo huduma ya mtumishi wa mungu. Mungu yupo hapo wameliketisha jina lake hapo watanzania tuombe wasiwepo wa kushangilia wakifikiri ni kakobe anaguswa la ni mungu

Reply

Comments are closed.