Sehemu ya hotuba aliyoitoa mkoani Mbeya katika sikukuu ya Wafanyakazi, Mei Mosi 1990. Shukran Dk. Tonny (Supika) kwa kurekodi video hii, nami bila ajizi nimei-upload kwenye twitvid na kushea na wote. Video nyingine nilizo-upload zinapatikana katika ukurasa wangu wa: twitvid.com/videos/subinukta