kwa kweli swala la kuonyesha maiti au ajli mbaya kwa television si jambola kiungwana kwani wanoona video hizi ikiwa pamoja na watoto na watu wa aina nyingi amabao reaction yao inaweza kuwa mbaya ni za kuzikitisha. Kwa jamaa wa marehemu ni kuwaongezea huzuni zaidi Tafadhali kama ni kuonyeshwa ajali sio sehemu inayonyesha maiti au majeruhi tuwaonee huruma wenzetu wa huzuni
kila siku habari ndo hizi...mbn huwa hamtuambii nini hatma y aaliesababisha?inauma sana.....ITV muwe mnafatailia mpk mwisho wa case na mtuleleze nini hatma ya mkosaji ili iwe fundiho na next tym drivers watakuwa makini zaidi jamani......ah!!!!