Maalim Seif akihutumia London 04/03/2010
DVD zinapatikana kwa kuwasiliana na wahusika kwa namba zifuatazo (+44) {07957632385} au (+44) {07595485727} au kwa email ebrahim628@hotmail.com CommentsMtanzania 09/03/2010 4:12am
Nakuunga mkono maalim Seif, hakuna maana yoyote ya ule muungano. Ule muungano unawapotezea historia yenu tu. Nyie pambaneni tugawane basi. Hali hii ipo pia Nigeria na mpaka hawapendani. Mimi ni mTanzania bara niko UK ila nawaunga mkono asilimia 100. Songa mbele Seif urudishe nchi yenu katika historia yake.
Reply
Comments are closed. | LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



