Ndani ya video hizi, zipo taarifa hizi:
- Vifo vya watu katika mgodi wa madini katika wilaya ya Geita mkoani Mwanza.
- Ushauri wa washiriki wa Kongamano la Mwalimu Nyerere kuhusu Ujamaa.
- Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakidai haki yao Mahakama Kuu Ya Tanzania.
- Bunge kuahirishwa kutokana na hitilafu katika vinasa sauti.
