Haya ni mapishi toka kwa watani wetu wa jadi hapo Kenya wakitufunza mapishi ya kunde, viazi vitamu na vikolombwezo vingine. Video imerekodiwa na kuwekwa mtandaoni na Supreme Master TV.
Lugha: Kiswahili, lugha ambayo inakua kwa kasi na kupendwa na wengi.
 


Comments


Comments are closed.