Katika habari ya iliyobandikwa hapa kuhusu TID kulalamika kupigwa na Hasheem Thabeet mtoa maoni ndugu 'Popo' ameweka linki ambayo niliibofya na kukutana na video inayoonekana hapa (in English): Commentsmashaka 16/05/2010 12:21pm
Muongozo bangi kwa superstar wa bongo,
Reply
Huyu jamaa kama ni publicity anataka, amepata lakini sasa ubaya, publicity anayopata ni yakijinga. Sasa analia nini, kwani yeye hajawahi kupiga mtu, au anahasira anataka Hasheem na yeye awekwe ndani. TID acha wivu, au kwakuwa kila mtu bongo siku hizi ni Hasheem Hasheem na sio TID TID. Kama umeonewa, basi fuata taratibu za kisheria, kama ni mahakamani umpeleke, lakini na hayo machozi, kama ni huruma unatafuta, hupati, kwani wewe pia hupenda sifa na bangi na pombe zako...
Reply
s.s 17/05/2010 2:24am
ameishiwa uyu!!kadai haki yako mahakamani sasa apa ndio huoni aibu kutulilia ovyooo...
Reply
mbayuwayu 17/05/2010 4:08pm
Duuuh, TID mwana punguza ganja (mihadarati)... halafu babake kwa ushauri bora uingie fani ya kuigiza au ze comedy maana itakufaa sana mzee.
Reply
mamAfrica 08/06/2010 10:15pm
Sasa Hasheem is a bigger star kuliko TID, nae anavuta nini mpaka endeleze uswahili huu?
Reply
Comments are closed. | LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



