Hii ni kwa yeyote aliyeuliza namna ya kupakia (embed) audio/video kwenye blogu baada ya kupakia audio/video kwenye archive.org (maelekezo mengine unaweza kuyapata kwa kubofya video zilizotangulia).

Kupakia (upload) audio au video kwenye archive.org inakubidi kufungua akaunti, ni bure!
 


Comments


Comments are closed.