Comments20/07/2010 7:45pm
Sasa hii mbona kali. Maana hizo PhD sasa zinafutwa kwani ni feki. Na kama zikifutwa, inabidi kwenye zile documents na majengo ambayo yameandikwa kuwa yamefunguliwa na Dr. so and so mfano Dr. Kikwete yafutwe na yawekwe Ndugu kama enzi za Mwalimu Nyerere
Reply
@Makulilo, ndiyo maana huwa ninawapenda na kuwasifu wale wote ambao hupenda kutumia mfumo wa kuandika jina lao rasmi na kisha madaraja, ngazi na vyeo vya shule na uongozi vikafuata. Iko mifano kibao ya jinsi ya kuandika majina na vyeo vikafuata, watu wajifunze, ipo tele mtandaoni, ...wanapenda kutafuniwa tu.
Reply
Comments are closed. | LIVEsports links
Myp2p.eu Iraqgoals.net Rajangan.net LiveScoreHunter.com Scorepage.com LiveTv.ru xScores.com NowGoal.com Vieo CategoriesAll Video Archive
April 2011 |



