video hii imerekodiwa toka ITV na kuwekwa mtandaoni na Kenney Kimaro/kennedyTz.blogspot.com
Sahihisho: Kenny ananitumia ujumbe kunifahamisha kuwa, video hii aliichukua toka hapa na si ITV.
Nami nasema asante Kenny kwa uungwana wako kunifahamisha hivyo, hujapenda kuchukua sifa isiyokustahiki, una heri. Sikuhakiki makabrasha kabla ya kuiweka. Shughuli nyingi na usahaulifu papo!
 


Comments


Comments are closed.