video imetoka kwenye blogu ya Zitto Kabwe na channel yake ya YouTube Quality ya picha ni nzuri, sana sauti inasikika vizuri kabisa, ila video fupi. Tunajua ni mwanzo. Mwanzo mzuri!
Shukrani sana Mhe. Zitto kwa kuitumia ipasavyo TeknoHaMa. Diaspora wanapata mengi sana kupitia blogu yako, Facebook, Twitter na e-groups/forums.