Na bado, subirini hiyo KASI ZAIDI, HARI ZAIDI NA NGUVU ZAID na hivi ndio shirikisho limeishaundwa msubir makubwa zaid ya hayo
Reply
Morimoto
21/09/2010 3:15pm
Hawa watu hawana huruma hata kidogo,serikali mko wapi je hayo ndio maisha bora ya kizazi kijacho..? Ohh God have mercy on those children.
Reply
Sabato
21/09/2010 4:03pm
Hii inanikumbusha India, wakati nikisoma huko. Kule ilikuwa ni jambo la kawaida ku-exploit watoto. Nakumbuka mama mmoja alikutwa amefungia mende kwenye jicho la mtoto wake ili alie kwa nguvu watu wamwonee huruma na kutoa chochote.
Reply
george
21/09/2010 9:49pm
first' i congratulated, kenya police' for a good work, well done! na sheria, lazima itumie mkono wake.
Reply
Julieth
22/09/2010 7:05am
Masikitiko makubwa haya. Hawa ni malaika wa Mungu mtu atajibu siku ya mwisho tuu. Ole wao