UPDATE: HabariCom wana channels mbili, moja inaonekana kuonesha ITV muda wote na nyingine inaonesha habari nyingine. Ikiwa pleya haifunguki  hapa kutokana na "restrictions" zilizowekwa na wahusika, yakubidi kwendakwenye channel hizo kupitia liveStream.com/vizatv na liveStream.com/habaricom
Watch live streaming video from habaricom at livestream.com

Tovuti ya HabariCom wanarusha ITV "LIVE" mtandaoni kupitia LiveStream.com/habaricom lakini kwa bahati mbaya, inaelekea upo komo wa idadi ya watazamaji wanaoruhusiwa na LiveStream kutizama kwa wakati mmoja. Nimejaribu ikiwa na watazamaji 53 na kukwama lakini kadiri nilivyoendelea kuvuta subira huku nikibofya, mtu mmoja aliondoka nami nikapata naasi hiyo kungia. Hivyo ukikwama kwa kuwa watazamaji wamezidi uwezo unaoruhusiwa (maxed out) endelea kujaribu kwa kubofya mara kwa mara.
Watch live streaming video from vizatv at livestream.com
 


Comments

01/11/2010 4:49am

Asante Subi, nafaidi ITV LIVE sasa.

Reply
Habibu H. Habibu
01/11/2010 5:31am

Dada Subi,

Ahsante sana kwani hata na sisi huku Saudi Arabia sasa tunayapata "live" matangazo haya ya matokeo ya kura.

Tunakupa big up sana.

Habibu H. Habibu
Saudi Arabia.

Reply
01/11/2010 5:44am

Shukrani kwenu nyote Malkiory na Habibu kwakufuatilia na kutoa mrejesho.
Nashukuru kwa kuwa pamoja na kwa ushirikano.

Reply
Morimoto
01/11/2010 6:13am

Subi, nashukuru kwa hii link ila mie bado sijafanikiwa kupata 'live' but sijachoka kujaribu pia.Nina shauku kubwa sana ya kufuatilia kinachoendelea nyubani.
Morimoto-Japan

Reply
01/11/2010 6:18am

Morimoto, usichoke kubofya. Mdau Makulilo amenifahamisha kuwa amebofya kama dakika 10 hivi na hatimaye akafanikiwa. Vile vile unaweza kusikiliza (sauti tu) kupitia BongoRadio.com

Reply
Melin
01/11/2010 6:19am

Da Subi shukrani sana kwa link hii. Mimi bado najaribu hope soon nitafanikiwa. Ila angalau napata bongo radio
Cheers

Reply
01/11/2010 6:21am

cheers @Melin

Reply
Hamis
01/11/2010 6:36am

Thank you Subi.ITV lIVE NEW ZEALAND!!

Reply
Melin
01/11/2010 6:37am

OOHH finally nimepata after 20 minutes, yani nimeshangilia kabisa.Thanks da Subi ubarikiwe sana
Melin Netherlands

Reply
01/11/2010 6:38am

Great! @ Hamis & Melin.

Reply
Orngatunyi
01/11/2010 6:56am

Jamani tupieane zamu kucheki, naona maximum namba ya watu imefika wengine hatuwezi kuona ITV

Reply
Habibu H. Habibu
01/11/2010 7:17am

Orgatunyi, mimi Habibu wa Saudi Arabia naachia link hiyo kwa dakika 50 hivi ili na wewe ubofye labda unaweza kuona kwani mimi nimekua nikiangalia live tangu Dada yetu Subi alipotuwekea hiyo link. Kwa sasa naendelea na Bogo Radi ila baada ya dakika 50 nitarudi tena katika link hiyo ila mwenzenu ninabahati sana nikiibofya tu inafunguka.

Habibu

Reply
Orngatunyi
01/11/2010 7:40am

Bilabila mazee, ukirudi naukipata itakua zali lako. Naona watu kibao wanahitaji kucheki. Asante Mazee for your consideration, bado imegoma

Reply
Ulrick
01/11/2010 7:51am

This is great, we're getting U live here in Edmonton Canada! Keep on bringing the results.

Reply
Habibu H. Habibu
01/11/2010 8:00am

Orgatunyi, pole sana kwa kutoipata link hiyo, lakini mimi nimeibofya tena sasa hivi nikaipata ila nimeiachia tena ili na wengine muipate. Kwangu mimi ninaipata kwa browser ya Mizilla Firefox hivyo kama hauna hiyo jaribu kui-download kisha utafute link hiyo kupitia hiyo utaipata tu rafiki yangu. Ila waka huo huo unaweza kufuatilia matokeo ya uchaguzi kupitia Bongo Radio kama ninavyofanya mimi kwa sasa kama alivyotuelekeza Dada Subi.

Habibu

Reply
01/11/2010 8:08am

Asante Habibu kwa ukarimu wako na kwa maelekezo sahihi unayotoa hapa. Tunasaidiana vyema. Shukran sana ndugu zangu Watanzania.

Reply
mjanja
01/11/2010 8:43am

Jamani daah subi huku malaysia ndio hatupati kabisa yani fulu kugoma nina kaka dakika 39 nahangaika cpati nwez hongera sana mpendwa kwa kazi nzuri unayofanya ya kutupa kila kinachojiri!

Reply
01/11/2010 8:46am

doh, pole sana mjanja. Sina mbinu za kusaidia, I wish I could. Ng'ang'ana na BongoRadio.com

Reply
Safiii
01/11/2010 9:34am

Inapatikana.nimejalibu mara kama mbili hivi tu within 2 minutes, nikaipata!!!! that's pretty good!wow,very interesting!.Keep trying guys

Reply
01/11/2010 1:43pm

Big up Subi, mimi napata matangazo ya television karibu zote za Tanzania kwa kutumia satellite, kwa hiyo nahamisha kwik, pale ninapotaka. Kama vile nipo Tz

Reply
Mpelumbe
01/11/2010 3:15pm

Dada Subi we salute you!
Gothenburg,Sweden.

Reply
01/11/2010 3:51pm

bodo sijaipata kila nibofya inasachi inasizi

Reply
Deo
01/11/2010 7:08pm

Anti Subi, I vote you Mzalendo Nambari Wani.

Reply
02/11/2010 3:44am

Thank you, Thank you ALL.
Ushirikiano wetu na udumu ndugu zangu Watanzania!

Reply
Habibu H. Habibu
02/11/2010 8:00am

Ni kweli kuna haja ya kudumisha ushirikiano na wewe Dada Subi. Your assistance in enabling us to closely follow up our country’s elections has been and is still so great. I am extremely proud of you sister Subi. Ahsante sana tena sana.

Reply
Habibu
02/11/2010 9:04am

Anna, je umeshaipata ITV? Kama bado tumia link hii:

http://www.livestream.com/habaricom?utm_source=lsplayer&utm_medium=ui-play&utm_campaign=click-bait&utm_content=habaricom.

Hiyvo copy hiyo link yote kama ilivyo halafu ui-paste katika browser ya Mozilla Firefox, Google Chromo au ile ya Internet Explorer 8 na kama huna hizo browsers basi uzi-download.

Reply
dawati
02/11/2010 11:03am

Da Subi haya matangazo ya ITV sio live. Ni delayed tena sana. Confirm please

Reply
02/11/2010 11:22am

@dawati, nami nimeliona hilo tokea jana. Lakini kama ujuavyo, hiyo HabariCom sihusiki nayo hivyo ni uongo niseme naweza kufanya lolote zaidi tu ya kuwauliza kulikoni na kama wanaweza kutuunganisha tena moja kwa moja, la sivyo, basi ndiyo "imekula" kwetu sote.

Reply
Habibu
02/11/2010 12:21pm

Dawati, wakati tunasubiria kuunganishwa tena na ITV live, unaweza kusikiliza (sauti tu) kupitia BongoRadio.com kama alivyotuelekeza Dada Subi.

Reply
Habibu
02/11/2010 12:32pm

Dawati, kwa msaada zaidi, nenda kwenye search engine ya Google, andika pale Bongo Radio, kisha bofya Bongo Radio - Tanzania - Listen Online, halafu bofya Play; utapata sauti ya Bongo Radio.

Reply

Comments are closed.