Katika video hii, Mwalimu anakiri kuwa lazima yapo makosa yaliyofanyika katika uongozi wa Serikali yake, na anatoa changamoto ya kujifunza kutokana na makosa badala ya kuishia kuyajadili tu bure, zaidi sana, anatoa changamoto kuchukua mazuri na kuacha mabaya, lakini tatizo letu ni kutilia "question mark" hata kwa mambo ya msingi...
