Jamaa amezidiwa akiwa safarini, njia pekee ya kupunguza adha ni kushusha mzigo kwenye gudulia la maua katika kiwanja cha ndege. Nadhani hakufahamu kuwa zipo kamera zinazonasa matukio mahali hapo. Hii ni njia nyingine ya kusambaza magonjwa ya mlipuko, ndiyo maana wazazi huwazuia watoto wao kugusa gusa hovyo vitu katika maeneo yenye mjumuiko wa watu wengi "public places"!
