Vyombo vya Usalama ni vya CCM, Tume ya uchaguzi nayo hivyovyo si huru! Demokrasia nchini mwetu baado! Ninachojua Kikwete atashinda tu kwa nguvu hiyohiyo ya dola. Nyie subirini tu baada ya siku chache tu mtasikia wanatangaza JK kashinda.CCM lazima wajue kuwa wananchi wamechoka nao na kuishi maisha duni miaka nenda rudi, wanataka mabadiliko.Iko siku historia itawahukumu.
Reply
Mlabula
31/10/2010 11:47pm
Jamani tusisahau kwamba ccm ilishatoa tamko kwamba lazma ishinde at any cost. yaliyojiri vituoni humo kuwasilisha vyombo vya kupigia kura mchana kwa magari 'tinted' mwanawane huoni ni kitendawili? nani ajuaye kama huo si uhuni navilivyowasilishwa si kura bandia? kwanini hao askari wawatimue wapiga kura bila sababu? Kama si kupotosha ushahidi wa wapigakura? Jamani jamani CCM tumewachoka acheni uhuni. Kama mtatenda haki nani atawachukia?