Hii ni moja tu ya video nyingi za zamani zinazomwonesha Marehemu Mwalimu J.K.Nyerere na viongozi wengine katika harakati za ukombozi na uhuru wa Tanganyika.
Uunaweza kuona (preview) na kununua video hizi katika tovuti ya Uingereza ya BritishPathe.com
Video nyingine zina sauti na nyingine hazina. Ni changamotoya teknolojia kwa wakati huo.