Huyu jamaa, Zane, ana kipindi chake cha "Three Sheets" ambapo husafiri nchi mbalimbali kwa ajili ya kujaribu vinywaji vikali katika maeneo anakofika.
Alipata fursa ya kufika nchini Tanzania ambako "alijichanganya" na wenyeji wa Arusha, Wamasai, na Kilimanjaro, Wachagga, ambapo katika vinywaji vikali alivyoonja ni pamja na Pombe ya asali ya nyuki (Wamasai), Gongo aka Piwa aka Chang'aa (haina kabila), Mbege (Wachagga) na Bia kadhaa za Tanzania.
Kipindi cha Zane kinafanana na kipindi cha"Bizzare Foods" kinachoendeshwa na Andrew Zimmern, ambaye yeye hujichanganya na wenyeji katika kuonja maakuli, na katika mlo wikiwemo vinywaji, pia hunywa kama alivyofanya alipofika kwa Wachagga (bofya hapa kutizama video kwenye tovuti ya TravelChannel.com)
Video hii inapatikana katika mtandao wa HULU hivyo baadhi ya watu hawataweza kuona, ikiwa unaishi nje ya Marekani, inabidi ujifunze mwenyewe "work around" ya jinsi ya kutizama Hulu videos nje ya Marekani.
Kwa bahati mbaya sina "tutorial" hiyo na siwezi kupakua video toka Hulu kwa ajili ya kuipakia kwingineko.
---------
Zane tries “bee brew” with Maasai tribe, and he partakes in a old fashioned version of an African keg party when he drinks from a bubbling cauldron full of boozy porridge with the Chagga people.