|
|
UPDATE: HabariCom wana channels mbili, moja inaonekana kuonesha ITV muda wote na nyingine inaonesha habari nyingine. Ikiwa pleya haifunguki hapa kutokana na "restrictions" zilizowekwa na wahusika, yakubidi kwendakwenye channel hizo kupitia liveStream.com/vizatv na liveStream.com/habaricom Watch live streaming video from habaricom at livestream.com Tovuti ya HabariCom wanarusha ITV "LIVE" mtandaoni kupitia LiveStream.com/habaricom lakini kwa bahati mbaya, inaelekea upo komo wa idadi ya watazamaji wanaoruhusiwa na LiveStream kutizama kwa wakati mmoja. Nimejaribu ikiwa na watazamaji 53 na kukwama lakini kadiri nilivyoendelea kuvuta subira huku nikibofya, mtu mmoja aliondoka nami nikapata naasi hiyo kungia. Hivyo ukikwama kwa kuwa watazamaji wamezidi uwezo unaoruhusiwa (maxed out) endelea kujaribu kwa kubofya mara kwa mara. Watch live streaming video from vizatv at livestream.com CommentsHabibu H. Habibu 01/11/2010 5:31am
Dada Subi, Morimoto 01/11/2010 6:13am
Subi, nashukuru kwa hii link ila mie bado sijafanikiwa kupata 'live' but sijachoka kujaribu pia.Nina shauku kubwa sana ya kufuatilia kinachoendelea nyubani. Melin 01/11/2010 6:19am
Da Subi shukrani sana kwa link hii. Mimi bado najaribu hope soon nitafanikiwa. Ila angalau napata bongo radio Hamis 01/11/2010 6:36am
Thank you Subi.ITV lIVE NEW ZEALAND!! Melin 01/11/2010 6:37am
OOHH finally nimepata after 20 minutes, yani nimeshangilia kabisa.Thanks da Subi ubarikiwe sana Orngatunyi 01/11/2010 6:56am
Jamani tupieane zamu kucheki, naona maximum namba ya watu imefika wengine hatuwezi kuona ITV Habibu H. Habibu 01/11/2010 7:17am
Orgatunyi, mimi Habibu wa Saudi Arabia naachia link hiyo kwa dakika 50 hivi ili na wewe ubofye labda unaweza kuona kwani mimi nimekua nikiangalia live tangu Dada yetu Subi alipotuwekea hiyo link. Kwa sasa naendelea na Bogo Radi ila baada ya dakika 50 nitarudi tena katika link hiyo ila mwenzenu ninabahati sana nikiibofya tu inafunguka. Orngatunyi 01/11/2010 7:40am
Bilabila mazee, ukirudi naukipata itakua zali lako. Naona watu kibao wanahitaji kucheki. Asante Mazee for your consideration, bado imegoma Ulrick 01/11/2010 7:51am
This is great, we're getting U live here in Edmonton Canada! Keep on bringing the results. Habibu H. Habibu 01/11/2010 8:00am
Orgatunyi, pole sana kwa kutoipata link hiyo, lakini mimi nimeibofya tena sasa hivi nikaipata ila nimeiachia tena ili na wengine muipate. Kwangu mimi ninaipata kwa browser ya Mizilla Firefox hivyo kama hauna hiyo jaribu kui-download kisha utafute link hiyo kupitia hiyo utaipata tu rafiki yangu. Ila waka huo huo unaweza kufuatilia matokeo ya uchaguzi kupitia Bongo Radio kama ninavyofanya mimi kwa sasa kama alivyotuelekeza Dada Subi. mjanja 01/11/2010 8:43am
Jamani daah subi huku malaysia ndio hatupati kabisa yani fulu kugoma nina kaka dakika 39 nahangaika cpati nwez hongera sana mpendwa kwa kazi nzuri unayofanya ya kutupa kila kinachojiri! Safiii 01/11/2010 9:34am
Inapatikana.nimejalibu mara kama mbili hivi tu within 2 minutes, nikaipata!!!! that's pretty good!wow,very interesting!.Keep trying guys Mpelumbe 01/11/2010 3:15pm
Dada Subi we salute you! Deo 01/11/2010 7:08pm
Anti Subi, I vote you Mzalendo Nambari Wani. Habibu H. Habibu 02/11/2010 8:00am
Ni kweli kuna haja ya kudumisha ushirikiano na wewe Dada Subi. Your assistance in enabling us to closely follow up our country’s elections has been and is still so great. I am extremely proud of you sister Subi. Ahsante sana tena sana. Habibu 02/11/2010 9:04am
Anna, je umeshaipata ITV? Kama bado tumia link hii: dawati 02/11/2010 11:03am
Da Subi haya matangazo ya ITV sio live. Ni delayed tena sana. Confirm please Habibu 02/11/2010 12:21pm
Dawati, wakati tunasubiria kuunganishwa tena na ITV live, unaweza kusikiliza (sauti tu) kupitia BongoRadio.com kama alivyotuelekeza Dada Subi. Habibu 02/11/2010 12:32pm
Dawati, kwa msaada zaidi, nenda kwenye search engine ya Google, andika pale Bongo Radio, kisha bofya Bongo Radio - Tanzania - Listen Online, halafu bofya Play; utapata sauti ya Bongo Radio. Comments are closed. |