Kwa magazeti, Mimi huwa naangalia kupitia Agape Television Network, kwani wanaeleza magazeti kwa kirefu kidogo mpaka kurasa za ndani. Muda ni saa 1.30 asubuhi na kurudia saa 2.30 asubuhi kwa saa za afrika mashariki. Nawapata kupitia satellite ya Hellas 2, sijui kama wanapatikana kinamna vinginevyo kwa wale walio mbali na vituo vyao