Mdahalo wa Kambi ya Upinzani Bungeni 2010 : Freeman Mbowe (CHADEMA) na Hamad Rashid (CUF)28/11/2010 Shukrani kwa Mwanakijiji kwa kurekodi na kuweka video hii youtube na kuruhusu embedding. Mtu yeyote anayetaka kutizama ITV online (na TV nyinginezo za Tanzania na Afrika), tayari nilishaelekeza kuwa waweza kufanya hivyo kupitia TV4Africa.com kwa kufuata masharti yao (bofya hapa kurejea maelekezo hayo). CommentsMoses 28/11/2010 12:23pm
Hakika kuna watanzania hawana uchungu na maslai ya watanzania wenzao,kwakweli jana nilihudhinika sana kitendo cha upinzani kwa upinzani kushambuliana, nadhani ufike wakati viongozi wale tuliowachagua wawe na uchungu na wananchi na wala si maslai yao,bado lawama nazielekeza kwa CUF kwa kukosa simile na kujisahau kuwa upinzani ni ushindani na wala si umoja wa vyama vilivyoungana.Poleni watanzania,Mungu yupo na ametuonyesha kusikiliza kilio chetu kwa kuwapa chadema wabunge wengi ambao naamini watapigania maslai ya watanzania wote.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA IANGALIE KATIKA MAMBO YOTE YA MSINGI. Mboga moto Ugali moto 28/11/2010 3:46pm
Tena wewe Moses ndo huna uchungu kabisa na wananchi pamoja na hao jamaa zako hao yaani wanapwaya Hata Hamadi Rashid ameonyesha ukomavu mkubwa wa Siasa. Hongera Hamad wa CUF. Hao jamaa ni wachanga matapeli wakacheze Disco pale Billlsss. Mohammed Khelef 28/11/2010 10:39pm
Nadhani mwenyekiti hakuwa na uwezo wa kuendesha mdahalo muhimu kama huu. Kwa mfano, maswali ambayo anauliza ni mepesi na ya kuegemea upande mmoja sana. Suali moja ni wagombea wa viti maalum. Kwa CUF, alikuwa specific na nini alitaka kujua, kwa CHADEMA alikuwa so general kiasi ya kwamba haijuilikani angelitaka Mhe. Mbowe aseme nini. Jovin 28/11/2010 11:26pm
Mdahalo feck, baada ya kuzungumza mambo ya msingi wanatuletea matatizo yao binafsi, Muhogo 29/11/2010 10:39am
Mwendeshaji hakuwa amejiandaa vyema na hakuijua vyema mada,alipendelea upande wa chadema kw kuuliza maswali yasiyonedana na maada.ITV ni CHADEMA john 29/11/2010 1:09pm
SIASA ZA TANZANIA NA WANASIASA. Salim 29/11/2010 1:45pm
Mbona maelezo na majibu ya swali la kwanza yaliyotolewa na Mh. Hamad Rashid yamekatwa kwenye video ya kwanza halafu hayakuendelezwa kwenye video ya pili? Tosh 29/11/2010 5:00pm
Wote walioshabikia cuf ni waislamu, Hicho chama ni cha udindi na hata ukiangalia aslimia kubwa ya wanachama na viongozi wake utakuta ni kofia na hijab, haitakuja tokea hata siku moja nchi yetu ya tanzania ikaongozwa kidini, Hata baba wa taifa alisema nchi haiwezi kuongozwa na dini wala mwandawazimu. so cuf hamna nafasi mpaka mjirekebishe Hillary Mushi 30/11/2010 2:16pm
Tanzania Hakuna Upinzani wa Kweli Tukubali hilo kevin 30/11/2010 8:31pm
Mi nadhani hawa wenzetu wa cuf wanahitaji kuelimishwa.Ni kweli Lipumba ni mchambuzi na mtu makini! Ila jamaa zake waislamu wanamaliza kwa kuchanganya uislam na siasa.HAMTAFANIKIWA, TUNAHITAJI KIONGOZI MAKINI NA SIO DINI!!!!!!! Comments are closed. |
