|
|
video credit: Kennedy Kimaro Commentsmc 01/12/2010 5:39am
Vizuri kusikia na pia na penda kusema hivi kuhusu makandarasi , hilo siyo kosa lao lakini wanabeba wao, tatizo ni viongozi wetu watanzania, sababu hawawaelezi kwanini kazi haiendi, wewe kama mgeni ukiona wenyeji hawajali na hiyo ni lazima hata mgeni lazima ataenda kotokana na mwenyeji wake, maana huwezi kutia nguvu bora kama mwenyeji hajali mazingira ya nguvu zao ni lazima mwenyeji atoe mfano tosha na wakutochekeleana katika kazi. kama wewe mwenyeji unategea ktk kazi zenu unatarajia nani akufanyie kazi yako kama wewe mwenyewe ni mviva. hilo lazima mkubaliane nalo na yeye lazima akae na kula kama mlavyo wenyeji. kwa hiyo kama kama tunataka kazi zifanywe lazima sisi watanzania lazima tuonyeshe kifua mbele cha kufanya kazi. ili nawale mtakao waajiri kazi wajua na watafanya kazi ipaswavyo kama wataona watanzania hawataki kuchekana ktk kazi. jueni hilo pale unapozembea na hapo ndiyo yeye naye kapata nafasi ya kuzembea. kwa hiyo msipende kuwapa nafasi kama hizo. Mc 01/12/2010 5:51am
Jamani hiyo ni kweli na sizitiza, watanzania kuweni wenywe ni mfano wa kufanya kazi za maendelea siyo wageni wawe ndiyo mfano wenu. chukua mfano mwenyewe binafsi, kama unajenga nyumba yako, usipo mbana fundi unafikiri atafanya kazi yako inavyotakiwa?? tatizo siyo mwajiriwa bali tatizo huwa ni kwa mwenye ajira kama hatasimamia kazi hiyo lazima haitafanyika. lazima muyajue matatizo kama hayo viongozi. Comments are closed. |