------
------
------
credit : Kennedy Kimaro/kennedytz.blogspot.com
 


Comments

first priority
07/11/2010 12:23am

yeah..its true kuwa rais kikwete asijigambe kuwa ameshinda hata kwa asilimia 50... maana waliopiga kura wote ni chini ya silimia 50, kwakuwa atakuwa ameshinda kwa silimia 20.... kwahiyo basi, wengi wa waliopiga kura ni wale waliokubali bara liende, wengi wao wamekatishwa tamaa na sera za wiziau uchakachuaji, kwahiyo wakaangalia kupi kilikuwa cha kufanya muhimu siku hiyo ya kupiga kura....HAKUNA USHINDI WA KISHINDO HAPO.... JENGA NCHI WACHA MAJINGAMBO KIKWETE

Reply

Comments are closed.