Ukitaka kutizama taarifa za Habari katika video tafadhali tembelea blogu ya Kennedy Kimaro ambaye kila anapoweza hurekodi video hizo na kuziweka katika blogu yake yenye  anwani hii: kennedytz.blogspot.com
 


Comments

Peter John Kapella
14/12/2010 3:02pm

Mr Kennedy mbona blog yako mara kwa mara haifunguki? Unatukatisha tamaa hasa sisi ambao tuko mbali na Tanzania tunapohitaji kuona taarifa za habari za nyumbani. Niko nchini China kwa masomo nahihataji kupata taarifa za nyumbani si unajua nyumbani ni nyumbani? Tafadhari rekebisha kama kuna tatizo.

Reply
14/12/2010 8:09pm

kwa sasa labda wavuti,, wapo kwenye 'little vaccation, watakaporudi watarudi na kasi mpya, hari mpya! kwahiyo, kapella' labda jaribu hii utakapokutana na ulimwengu wa watanzania'kwa ujumla. www watanzaniaoslo blogspot.com

Reply

Comments are closed.