credit : dedichijr
 


Comments

mpekenyuzi
01/03/2011 5:57am

Sasa ya Dowans yapo wapi, mbon mzee unatuzungusha tu. tunataka katiba mpya hatutaki kusikia habari za chadema, msituletee taarabu zenu hapa

Reply
pablo davie
01/03/2011 10:56pm

hii nchi yetu nadhani tatizo letu hasa ni uaminifu mpaka sasa hatujui mkweli ni nani na muongo ni nani na mwizi ni nani.wewe kama raisi unachukua hatua gani ukikuta rafiki zako ni maharimu i,e waovu?can you dea with them? if you can basi umefanikiwa kuinua nci yetu .

Reply
kavembe
03/03/2011 8:00pm

Huyu jamaa atakwenda down in history as the most useless president wa nchi. Tanzania imepoteza miaka sita sasa chini ya uongozi wa huyu mbabaishaji. And we still have 4 more years to go chini ya huyu mswahili na mshirikina.

Reply
juta
13/03/2011 8:40pm

yaliyo semwa na baba wataifa nikinyume halisema rais bora hatatoka ccm kamanisha rais boga hatatoka huko

Reply
king kong
16/03/2011 8:44pm

Reply

Comments are closed.