Shukrani kwa Mwanakijiji kwa kurekodi na kuweka video hii youtube na kuruhusu embedding. Mtu yeyote anayetaka kutizama ITV online (na TV nyinginezo za Tanzania na Afrika), tayari nilishaelekeza kuwa waweza kufanya hivyo kupitia TV4Africa.com kwa kufuata masharti yao (bofya hapa kurejea maelekezo hayo).