Loading...
Thursday

Christina Lissu (Mb) aaga dunia

Christina Lissu
TANZIA: Waheshimiwa nawasalimu kutoka Kibondo. Nina habari zisizokuwa njema. Dada yangu na aliyekuwa Mbunge wetu wa Viti Maalum Mh. Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan Dar. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa cancer tangu mwaka jana. Kwa niko nje ya Dar na ndio kwanza taarifa hizi zimenifikia, sina taarifa zaidi juu ya mipango ya mazishi, etc. Tutawataarifu baada ya familia kuwa tumeshauriana.
Tundu Lissu

1 comments :

  1. pole sana Tundu na msiba mkubwa uliokupata hatuna budi kukubali yalitokea .
    tumwombe mungu kutie nguvu hasa ktk kipindi hiki kigumu kwako na kwa familia yako kwa ujumla. tumwombee dada yetu alale kwa amani yuma yake mbele yetu ametangulia na wote tulobaki tutapita njia hiyo.

    George J. Lusalago.

    ReplyDelete

 
Toggle Footer
TOP